Biblia haijaweka wazi tarehe aliyozaliwa YESU. Historia inaonyesha wazi kuwa, tar 25/12 ni tarehe aliyozaliwa "Tammuz" ambaye wapagani waliamini kuwa Tammuz ni mungu wa mimea na mazao, hivyo basi wapagani waliazimisha kuzaliwa kwa Tammuz kila inapofika tarehe hiyo. Kanisa chini ya kiongozi Constantine likaamua kuingiza siku hii kama siku ya kuzaliwa YESU ili kuwavuta wapagani wajiunge na kanisa ili kuongeza mapato ya kodi. SWALI.. Je kuna uhusiano gani kati ya kuzaliwa kwa YESU na mti wa Christmas.??? Mti wa Christmas ni ishara ya kuzaliwa kwa Tammuz ambaye wapagani waliamini kuwa ndiye mungu wa mimea na mazao. HITIMISHO:
Fanya Biblia pekee kuwa mwongozo wa maisha yako. KUMBUKA: Biblia ndiyo katiba ya kikristo. Acha kufuata mapokeo. Soma Yeremia 52:20 ikiwezekana soma sura nzima kupata uhakika na maelezo mazuri utaelewa kua Christmass ni upagani
Wednesday, December 25, 2013
LESSON YA ROBO YA KWANZA 2014
UANAFUNZI: Discipleship
Masomo yatakayokuwepo katika Lesson hiyo jitahidi upate Lesson yako mapema ili ujifunze maandiko upate maarifa.
1 Disciples and Scripture—December 28–January 3 5
2 Discipling Through Metaphor—January 4–10 17
3 Discipleship and Prayer—January 11–17 29
4 Discipling Children—January 18–24 41
5 Discipling the Sick—January 25–31 53
6 Discipling the “Ordinary”—February 1–7 65
7 Jesus and the Social Outcasts—February 8–14 77
8 With the Rich and Famous—February 15–21 89
9 Discipling the Powerful—February 22–28 101
10 Discipling the Nations—March 1–7 113
11 Discipling Spiritual Leaders—March 8–14 125
12 The Harvest and the Harvesters—March 15–21 137
13 The Cost of Discipleship—March 22–28 149
Samahani bado hatujapata masomo hayo kwa kiswahili (Vichwa vya habari kwa kiswahili) tutawajulisha tutakapopata Kitunda kati SDA ipo kwa aijli ya kulitangaza neno la Mungu karibu tushirikiane kulitangaza.
kupata lesson yako bofya hapa chini Bofya upate lesson yako

Picha za Kwaya ya Kitunda Kati(CCB choir) ndani ya Kampala
Hawa ni wanakwaya wa Kitunda kati wakiwa Kampala kwenye ECD music convention lililofanyika hivi karibuni angalia picha ubarikiwe .
Saturday, November 16, 2013
JE UMEJIFUNZA LESSON MTANDAONI
Tembelea http://ssnet.org/ hapa utajifunza lesson kwa lugha ya kingereza pia kuna visa na masomo mbalimbali utavipata hapa.
Kama ni masomo ya watoto na shuhuda mbalimbali.bofya hapa uone
Kama ni masomo ya watoto na shuhuda mbalimbali.bofya hapa uone
Wednesday, November 6, 2013
VIONGOZI WAPYA WA TANZANIA UNION KUSINI
WAFAHAMU VIONGOZI WAPYA WA UNIONI MISHENI YA TANZANIA KUSINI YA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO
1. Mwenyekiti- Mch. Magulilo J Mwakalonge
Ametenda kazi kama mwinjilisti mlei, Mchungaji wa Mtaa (SWTF- SHC).
Mkurugenzi wa Uwakili- ETC, Mkurugenzi wa Mawasiliano - Tanzania Union,
Mkurugenzi wa Huduma na Katibu wa Chama cha Wachungaji - Tanzania Unioni
na kisha akishika nyadhifa hizo hizo katika Divisheni yetu ya ECD.
Kabla ya wito huu alikuwa Mkurugenzi wa Vijana, Muziki, na Chaplensia wa
ECD.
2. Katibu Mkuu- Mch James Machage- Ametenda Kazi Kama
mchungaji wa mtaa, Mkurugenzi wa Chaplensia wa Tanzania Union,
Mwenyekiti wa Mara Konference Kwa miaka karibia 15 na Katibu Mkuu wa
Mara Konferensi. Wakati akiitwa Mch Machage alikuwa Katibu Mwenza wa
Tanzania Union....
3.
Mhazini - Mr Jack Manongi- Ametenda Kazi Kama Mhasibu Mkuu wa Tanzania
Union kisha akijiunga na kitengo cha huduma za Ukaguzi cha general
Conference ambako ametenda kazi kama mkaguzi wa hesabu za fedha mpaka
wakati wa wito huu.
Tafadhali tuwaombee.
Tarehe 5-6
/12/ 2013 Wajumbe Kutoka makanisa yote ya Unioni Misheni ya Tanzania
Kusini watakutana Dar es salaam kuchagua kuchagua wakurugenzi wa unioni
hii.
Tarehe 3-4/12/2013 Wajumbe toka Makanisa yote ya Unioni
Konferensi ya Tanzania Kaskazini watakutana Arusha kuchagua Viongozi na
Wakurugenzi wa Union hiyo. Tuendelee Kuombea zoezi hilo.
Wednesday, October 16, 2013
MWALIKO WA MKUTANO MKUBWA WA INJILI
Kanisa la waadventista wa sabato Kitunda Kati kupitia idara ya huduma linapenda kuwaalika wote katika mkutano mkubwa wa injili unaoendelea kuanzia tarehe 13/10/2013 hadi 9/11/2013 . Masomo mbali mbali yatatolewa kama vile Afya- Dr Matondo , kaya na familia -Pastor Sinda na mafundisho makuu kutoka kwa Pastor Toto .B. Kusaga .
Muda ni kuanzia saa 9 hadi saa 12 jioni ,Eneo ni viwanja vya kanisa la Kitunda Kati SDA . pia kwaya mbalimbali zitahudumu , njoo ubarikiwe na vipindi vizuri.. pia huduma ya maombi itafanyika kwa wenye shida mbalimbali.

Wote mnakaribishwa
Subscribe to:
Posts (Atom)