Kanisa la waadventista wa sabato Kitunda Kati kupitia idara ya huduma linapenda kuwaalika wote katika mkutano mkubwa wa injili unaoendelea kuanzia tarehe 13/10/2013 hadi 9/11/2013 . Masomo mbali mbali yatatolewa kama vile Afya- Dr Matondo , kaya na familia -Pastor Sinda na mafundisho makuu kutoka kwa Pastor Toto .B. Kusaga .
Muda ni kuanzia saa 9 hadi saa 12 jioni ,Eneo ni viwanja vya kanisa la Kitunda Kati SDA . pia kwaya mbalimbali zitahudumu , njoo ubarikiwe na vipindi vizuri.. pia huduma ya maombi itafanyika kwa wenye shida mbalimbali.
Wote mnakaribishwa
No comments:
Post a Comment