KWAYA YA KANISA KITUNDA KATI.
KWAYA YA KANISA KITUNDA KATI WANAJIANDAA NA KONGAMANO KUBWA LA KIMATAIFA LA UIMBAJI HUKO KAMPALA UGANDA MWEZI DECEMBER .
WANAHITAJI MCHANGO WAKO WA HALI NA MALI KUFANIKISHA SAFARI YAO
USIKOSE NOVEMBER 30 KATIKA HARAMBEE YA KUFANIKISHA SAFARI HII MUHIMU
No comments:
Post a Comment