Social Icons

Pages

Thursday, October 2, 2014

Watafuta Njia wa Kanisa la Kitunda Kati SDA wakiwa kwenye gwaride siku ya ufunguzi wa makambi ya mtaa wa Kitunda 2014

Watafuta njia (PF Club) wa Kitunda Kati SDA wakiwavisha wageni rasmi skafu wachungaji wageni ambao walitoa huduma kwenye kambi la mtaa wa kitunda

Mchungaji Sadik Lukinga akiwa na wageni wa kambi la mtaa wa Kitunda Kati

Kwaya ya CCB Kitunda Kati SDA wakitumbuiza kwenye kambi la mtaa wa Kitunda 2014

Makambi Mtaa wa Kitunda 2014

Waimbaji wa kwaya ya mtaa wa Kitunda wakitumbuiza kwenye makambi ya mtaa wa Kitunda 2014

Mass Choir iliyoundwa na kwaya ya Kitunda Kati SDA na Amani SDA wakijiandaa kuimba kwenye ibada kuu ya kambi la mtaa wa Kitunda 2014

Wednesday, August 6, 2014

KONGAMANO LA UIMBAJI KITUNDA AGOSTI 24, 2014

Kwaya ya CCB ya Kanisa la waadventista wasabato itakuwepo kwenye kongamano hilo


Kongamano kubwa la uimbaji wa kwaya za mtaa wa Kitunda.


Lini: Agosti 24, 2014 siku ya ufunguzi wa makambi ya mtaa wa Kitunda

WAPI: Kanisa la Waadventisa Wasabato Kitunda, Dar es Salaam

Muda: Kuanzia saa 4 asubuhi

Kwaya.  Kitunda SDA choir, Kitunda Kati SDA(CCB Choir) , Machimbo SDA Choir, Kiyombo SDA Choir, Ubungo SDA Choir na Majohe SDA Choir.

Pia kutakuwepo na kwaya za vijana za makanisa matano ya mtaa wa Kitunda

Kiingilio: Bureee

karibuni Wote

Monday, June 2, 2014

Baadhi ya wageni waliohudhuria siku ya sabato ya wageni kanisani Kitunda Kati

Waimbaji wa kwaya ya Mbezi Mtaa na Kitunda Kati wakiimba kwa pamoja siku ya sabato ya wageni iliyofanyika Juni mosi mwaka huu katika viwanja vya kanisa la Waadventista Wasabato Kitunda Kati. (picha kwa hisani ya idara ya  mawasiliano)

Watafuta njia wa kanisa la Waadventista Wasabato Kitunda Kati wakionesha ukakamavu wao siku ya sabato ya wageni juzi.