Baadhi ya wageni waliohudhuria siku ya sabato ya wageni kanisani Kitunda Kati
Waimbaji wa kwaya ya Mbezi Mtaa na Kitunda Kati wakiimba kwa pamoja siku ya sabato ya wageni iliyofanyika Juni mosi mwaka huu katika viwanja vya kanisa la Waadventista Wasabato Kitunda Kati. (picha kwa hisani ya idara ya mawasiliano)
Watafuta njia wa kanisa la Waadventista Wasabato Kitunda Kati wakionesha ukakamavu wao siku ya sabato ya wageni juzi.