Kwaya ya CCB ya Kanisa la waadventista wasabato itakuwepo kwenye kongamano hilo |
Wednesday, August 6, 2014
Kongamano kubwa la uimbaji wa kwaya za mtaa wa Kitunda.
Lini: Agosti 24, 2014 siku ya ufunguzi wa makambi ya mtaa wa Kitunda
WAPI: Kanisa la Waadventisa Wasabato Kitunda, Dar es Salaam
Muda: Kuanzia saa 4 asubuhi
Kwaya. Kitunda SDA choir, Kitunda Kati SDA(CCB Choir) , Machimbo SDA Choir, Kiyombo SDA Choir, Ubungo SDA Choir na Majohe SDA Choir.
Pia kutakuwepo na kwaya za vijana za makanisa matano ya mtaa wa Kitunda
Kiingilio: Bureee
karibuni Wote
Subscribe to:
Posts (Atom)