Watafuta Njia wa Kanisa la Kitunda Kati SDA wakiwa kwenye gwaride siku ya ufunguzi wa makambi ya mtaa wa Kitunda 2014 |
Watafuta njia (PF Club) wa Kitunda Kati SDA wakiwavisha wageni rasmi skafu wachungaji wageni ambao walitoa huduma kwenye kambi la mtaa wa kitunda |
Mchungaji Sadik Lukinga akiwa na wageni wa kambi la mtaa wa Kitunda Kati |
Kwaya ya CCB Kitunda Kati SDA wakitumbuiza kwenye kambi la mtaa wa Kitunda 2014 |